Wenye kuishi katika hali ngumu ya kimaisha
Napac imekuwa mstari wa mbele katika kuwasaidia watoto
mayatima kwa kuwapatia huduma za chakula, makazi na mavazi kadhalika kuwasaidia
kupata haki ya elimu kama ilivy kwa watoto wengine katika jamii. Tuungane kuwasaidia
mayatima ili tuwe na jamii yenye usawa
Support